Unaweza ukashangaa lakini hivi ndivyo msanii Akoni alivyopiga show yake nchini Congo akiwa ndani ya Puto Gumu la plastic. Alifanya hivo ili kujikinga na ugonjwa mbaya wa Ebola akiamini kuwa ugonjwa huo upo kila pembe ya Africa. na pia akihofia kugusana na kila mtu.
Sunday, 19 October 2014
VIDEO MPYA YA TIMBULO-NAKUMISS MISS
Hii ni Video mpya ya msanii Timbulo ambayo inaitwa Nakumiss miss.
PICHA ZINGINE ZA RAPPER RICK ROSS BAADA YA KUPUNGUZA KILO ZAIDI, TUMBO LIMEKWISHA
Rapper Rick Ross amaye ndiyo mmiliki wa Record lebel MMG amepunguza kilo zingine zaidi na sasa muonekano wake umebadilika sana. Mchakato wa kupunguza kilo na kuwa na afya bora ulianza mwaka mmoja nyuma baada ya Rozay kupata matatizo ya kiafya na kupoteza fahamu akiwa kwenye ndege.
Rapper Drake's Bugatti Veyron
Rapper Drake ni mmoja katika wasanii wachache marekani wanaomiliki mikoko ya gharama zaidi Duniani. Na hili gari Bugatti Veyron ndio la msanii Drake. Veyron ni gari imara linalotengenezwa nchini Ujerumani na Bei yake ni zaidi ya Billion 4.5. Wasanii wengine wanaomiliki Bugatti Veyron ni pamoja na Lil Wayne, Jay Z, Soulja Boy, X-zibit, Flo Rida,Chris Brown, T-pain, Game, Birdman.
Saturday, 18 October 2014
Friday, 17 October 2014
Wednesday, 15 October 2014
Uliiona hii ya Vanessa Mdee na Jux weekend iliyopita?
Waimbaji Jux na Vanessa Mdee tayari mpaka sasa wameshachukua nafasi kwa kiasi chake kwenye headlines za stori za mastaa wa bongo mwaka huu na hii ni kutokana na wawili hawa kuonekana pamoja sehemu kadhaa.
Kama unataka kuziona dakika zao chache baada ya kukutwa na camera weekend iliyopita unaweza kubonyeza play kwenye hii video hapa chini…
Tuesday, 7 October 2014
Subscribe to:
Posts (Atom)