TANZANIA & GLOBAL MUSIC

Monday, 8 June 2015

Ommy Dimpoz Amwanika Mpenzi wake Hadharani...Aweka Picha Mtandaoni na Kuitoa muda Huo Huo...ila Tumeidaka

›
Ommy dimpoz hatimae amemweka ubavu wake hadharani kupitia mtandao wa twitter.nakuta mka maneno yafuatayo.Am in lov with Coco.Nakuondoa hara...

Chriss Brown Amwomba Msamaha Karrueche Walipokutana Klabu...Karrueche Amlia Bati na Kumpita Kama Hamjui

›
Chriss Akiomba Msamaha huku Karrueche Akiwa Busy na SimuMAPENZI yanaumiza! Hii ni baada ya staa wa muziki wa RnB, Chris Brown, mwishoni mwa ...

WAGOMBEA URAISI CCM WAUKACHA MDAHALO

›
Si jambo geni lililotokea leo. Si jambo la kustaajabisha wagombea watarajiwa wa CCM kukimbia midahalo. Mafuruki pole,hujaijua CCM. CCM hain...

MEMBE: Nikiwa Raisi wasanii wataenda Nje kujifunza...

›
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, amesema kama atachaguliwa kuwa Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muung...

Wema Sepetu na Aunty Ezekiel ni washkaji kama kawaida.

›
Mastaa wa filamu za Tanzania Wema Sepetu na Aunty Ezekiel waliripotiwa kutofautiana hivi karibuni baada ya Aunty kumualika Kajala kwenye Ba...
Sunday, 7 June 2015

Shilole Amsamehe Rose aliyesema anaujauzito wa Nuh Mziwanda.

›
Baada ya ugomvi uliotokea kati ya Shilole na video queen maarufu Rose kuhusu kauli ya Rose kuwa anaujauzito wa Nuh Mziwanda, na kwmba aliku...

TAZAMA PICHA 14 KALI KUTOKA FAINALI YA UEFA CHAMPIONS LEAGUE BARCELONA WAKISHINDA 3-1 DHIDI YA JUVENTUS

›
Suarez alimalizia kwa haraka mpira uliotemwa na Golikipa Gianluigi Buffon kutokana na shuti kali la Lionel Messi na kuandika goli la pili kw...

Uchaguzi wa Coastal Union, Wagombea waanza kujitosa kuwania

›
Ikiwa mchakato wa uchaguzi wa viongozi kwenye klabu ya Coastal Union unazidi kupamba moto, mgombea wa nafasi ya uenyekiti Twaha Ahmed ameta...

MBEYA CITY YAKANUSHA KUMSAJILI KIIZA

›
Wakati vita ya usajili ikizidi kupamba moto, timu ya ‘Wagonga nyundo wa Mbeya’ Mbeya City imekana kumsajili mshambuliaji wa zamani wa Yang...

INTER MILAN YAMTAKA MCHEZAJI HUYU WA MANCHESTER UNITED

›
Ni muda wa usajili nani anaenda wapi nani ana saini upya. Hii ni habari mpya ambayo inamhusu star Manchester united ambae anatakiwa na Inte...

DINA MARIOS WA CLOUDS FM AFUNGUKA BAADA YA KUPIGWA BENCHI

›
Kupitia Ukurasa wake wa Instagram Mtangazaji Dina Marious Amefunga Mengi kuhusa hali yake na nini kinaendelea kwenye Ajira yake baada ya mud...

ALI KIBA AWAONESHA MASHABIKI PICHA ZA VIDEO SHOOTING ZA NYIMBO YAKE YA CHEKECHA CHEKETUA

›
Director Meji Alabi akiwa na kijana Ali Kiba washoot video ya chekecha cheletua Nchini Africa kusini. Ni baada ya Ali kiba kukaa kimya kwa m...
Wednesday, 28 January 2015

Yamoto Band NITAKUPWELEPWETA_Official Video

›
Hiki ndicho kichupa kipya cha yamoto band. Unaweza kukicheki hapa na kukidownload pia
Wednesday, 14 January 2015

Ali Kiba Atangaza Kuanza Mwaka na 'Surprise'

›
 Star wa muziki Ali Kiba, amesema kuwa mapokezi ya video yake ya Mwana ndani na nje ya mipaka ya Tanzania yamekuwa ni ishara kwake kuw...

Picha na Orodha ya washindi wa tuzo za FIFA Ballon d’Or 2014

›
Tuzo za Ballon d’Or zimefanyika 12 Jan 2014 ambapo wachezaji bora wa mwaka wamepokea tuzo kutoka shirikisho la soka ulimwenguni FIFA Kupi...

MPYA: DIAMOND AMPA ZARI UJAUZITO #Soma hapa

›
Baada ya sokosoko kuu la kwanini?? muda wote huu kijana Nassib Abdul – Diamond Platnumz pamoja na list yake ndeeeefu ya mabinti wa bongo...

Wimbo Wa Daimond mpya January 2015 ‘Nasema Nawee’

›

PICHA ZA MAREHEMU ALIYEZIKWA NA KIFARANGA CHA KUKU TUMBONI

›
Kaburi la marehemu Benadetha Steven aliyefariki dunia hivi karibuni  kutokana na uvimbe tumboni aliyekuwa mkazi wa Mtaa wa Mapinduzi kata...
›
Home
View web version
Powered by Blogger.