Saturday, 20 September 2014
Friday, 19 September 2014
BARNABA CLASSIC-WAHALADEE mp4.HD
KAMA HUKUPATA KUSIKIA NYIMBO MPYA NAY WA MITEGO NA STAMINA-HUKO KWENU VIPI BASI SIKILIZA HAPA MTU WANGU.
Ni bonge moja la ngoma Stamina_ft. Nay wa mitego_Kwenu Vipi. Nyimbo ina dakika 4 na sekunde 3 isikilize na kisha download hapo hapo katika hiyo link hapo juu.
Thursday, 18 September 2014
BRAND NEW SINGLE KUTOKA KWA YOUNG DEE ft. JUX "SIO MCHOYO"
Nyimbo kali na mpya young dee amemshirikisha msanii wa R & B bongo jux inaitwa sio mchoyo imezinduliwa jana Clouds FM iskilize hapo na kisha unaweza kuidowload kabisa.
DIAMOND PLATINUMZ KUTUMBUIZA TORONTO CANADA JUMAMOSI IJAYO.
Diamond platinumz ni miongoni mwa wasanii wa Africa wenye ratiba ngumu sana kwa sasa kutokana na mfululizo wa show nyingi za nje na ndani ambazo anaendelea kuzifanya. Baada ya week iliyopita kutumbuiza kwenye show ya "Africa Unplagged" jijini london akiwa na Davido na Tiwa Savage bado yupo London Uingereza, ijumaa september 19 atakuwa na show london, Jumamosi September 20 atakuwa na show Stuttgart-Germany na September 27 atakuwa Toronto Canada na team yake nzima ya wasafi akitumbuiza katika ukumbi wa The Danforth Music Hall.
KAMA HUKUSIKIA WALA KUONA VIDEO YA "3 CHAFU" NA "KIPI SIJASIKIA"YA PROFESSOR JAY BASI CHEKI HAPA
Profesa Jay ameachia ngoma yake mpya, ‘Tatu Chafu’ iliyofanyika kwenye studio yake, Mwanalizombe Records chini ya producer, Villy. Kwenye ngoma hii, Professor J amewashirikisha J Hustle (ambaye ni Prof aliyekuwa underground mwenye hasira na Nigga J aliyekuwa Hard Blasters Crew (HBC) na Professor J ndio yule ‘The Heavy Weight MC’.
Subscribe to:
Posts (Atom)