Baada ya kumshirikisha kwenye ‘Ni Penz’, Damian Soul ameongeza nguvu
ya Joh Makini kwenye ngoma yake mpya ‘Baraka’. Ngoma hiyo imetayarishwa
na Pancho Latino na Hermy B kutoka studio za B’Hits.
“Mungu Baba amekua mwema sana Na mwaminifu mnoo ktk mwaka 2014….na
sasa #BARAKA #BLESSINGS 1/1/2014 ma brand new track itakua inapatikana
ulimwenguni kote,” amesema Damian. Isikilize hapo chini.
No comments:
Post a Comment