AFRICA YAZIDI KUMTAMBUA ZAIDI DIAMOND_HUU NI MCHONGO MWINGINE ALIUPATA MSANII HUYU
Diamond Platnumz ateuliwa kutumbuiza CAF
Msani Nasib Abdul ‘Diamond’ amechaguliwa
kuwa mmoja wa wasanii watakaotumbuiza kwenye hafla ya utoaji tuzo za
mwanasoka bora Afrika 2014.
Diamond atatumbuiza katika tuzo hizo
ambazo wachezaji 25 nyota barani Afrika wamechaguliwa kugombea tuzo
hizo. Hafla hiyo itafanyika Januari 8, 2015 jijini Lagosi Nigeria.
Mwanasoka Bora, Yaya Toure raia wa Ivory
anayeitumikia Manchester City ya England ni kati ya watakaowania nafasi
hiyo. ..... What more can i say kwa huyu kijana... Go go represent
us....
#WhereistheKing????
No comments:
Post a Comment