Tiwa Savage na mumewe wanatarajia kupata mtoto wao wa kwanza 2015
Muimbaji wa Nigeria, Tiwa Savage amesherehekea mwaka mpya 2015 kwa
kushare habari njema kuwa ni mjamzito, hivyo yeye na mume wake
wanatarajia kupata mtoto mwaka huu (2015).
Tiwa aliandika Instagram: “2015….Just the 3 of US…#AllGloryToGod”.
Huyo atakuwa ni mtoto wa kwanza kwa Tiwa, na kwa mumewe aitwaye Tunji
TJ Balogun atakuwa wa tatu kwasababu tayari anao wengine wawili
aliowapata kwenye mahusiano yaliyopita.
No comments:
Post a Comment