Sunday, 4 January 2015

Selena Gomez hana habari na Justin Bieber tena…ala ‘Goodtime’ na mwanaume mwingine Dubai


gomz

Selana Gomez amekua Busy na watu wake wa karibu ikiwemo familia yake wakati wa sikukuu za Krismas na mwaka mpya, ili mradi tu aweze kumsahau mpenzi wake Justin Bieber ingawa bado moyo wake unaonyesha dhati kumpenda.
Katika ziara yake Dubai Selana ameonekana kuwa karibu na mwanaume mmoja kwa jina la Harith Bukhash na kuspend naye muda mwingi huku akionyesha dhahiri kumsahaulisha machungu ya kuachana na mpenzi wake Bieber


selMwanaume huyo alionyesha ukaribu zaidi kwa Selena na kumfanya wakati wote kuwa na furaha iliyoonyesha ni jinsi gani anatakiwa kufanyiwa kama malkia.
“Alikua na wakati mzuri sana Dubai na alikua karibu sana na Harith, imeonyesha Selana ni jinsi gani anatakiwa kufanyiwa kama malkia,chanzo cha habari kilieleza.

selenaaa

No comments:

Post a Comment