HIZI NI YOU_HEARD KUU 5 ZA MWAKA 2014 KUTOKA KWA SOUDY BROWN WA CLOUDS FM.
Ndugu msomaji kama ulikuwa ukipitwa na kipindi kifupi cha You heard cha soudy brown, basi hapa ni zile You heard kuu tano ambazo zimeonekana kushika vichwa zaidi kwa mwaka 2014. sikiliza na pia unaweza kudownload hapa chini kwenye Hulkshare.
No comments:
Post a Comment