Ni miongoni mwa maswali mengi yanayoulizwa kuhusu wapenzi wa bongo
fleva, Vanessa Mdee na Jux, Je ni wapenzi au marafiki tu ? Kwenye
interview tofauti nilizofanya nao kila mara V Money husema kuwa ”
Me na Jux ni marafiki sana, na tumekuwa hivi kwa muda mrefu” . Je mwaka 2015 wataweka wazi kuwa kinachoendelea kati yao ni zaidi ya Urafiki ?
No comments:
Post a Comment