Muimbaji wa Nigeria, Tiwa Savage amesherehekea mwaka mpya 2015 kwa
kushare habari njema kuwa ni mjamzito, hivyo yeye na mume wake
wanatarajia kupata mtoto mwaka huu (2015).
Tiwa aliandika Instagram: “2015….Just the 3 of US…#AllGloryToGod”.
Huyo atakuwa ni mtoto wa kwanza kwa Tiwa, na kwa mumewe aitwaye Tunji
TJ Balogun atakuwa wa tatu kwasababu tayari anao wengine wawili
aliowapata kwenye mahusiano yaliyopita.
No comments:
Post a Comment