Wimbo wa rappa Drake 0 t0 100 umetajwa kuwa wimbo bora na mtandao wa habari na nyimbo za hiphop nchini Marekani ‘
XXL‘
Rappa Drake hajatoa album mwaka 2014 ila wimbo wake wa 0 to 100
umefanikiwa kumweka juu kwenye radio. Wimbo huu pia umetajwa kuwania
tuzo za Grammy kwenye vipengele vya Best Rap Performance na Best Rap
Song.
No comments:
Post a Comment