Tuzo za Ballon d’Or zimefanyika 12 Jan 2014 ambapo wachezaji bora wa
mwaka wamepokea tuzo kutoka shirikisho la soka ulimwenguni FIFA Kupitia Fifa Ballon d’Or.
Tuzo ya mchezaji bora duniani imeshindwa na Cristiano Ronaldo, alikuwa akiwani na Lionel Messi na mlinda mlango Manuel Neur.
Cristiano Ronaldo ameshinda kwa
asilimia 37.66 ya kura zote akimshinda Lionel Messi mwenye asilimia
15.76% na Manuel Neuer mwenye asilimia 15.72%.
Tuzo ya goli bora ameshinda James Rodriguez .
Tuzo ya mwanasoka wa kike ameshinda Nedine Kassler.
Tuzo ya mlinda mlango bora ameshinda Manuel Neur .
Tuzo ya kocha bora ameshinda mjerumani Joachim Law .
Kikosi bora cha FIFA kimetajwa kuwa na hawa wachezaji . Neuer; Lahm,
Ramos, David Luiz, Thiago Silva; Di Maria, Iniesta, Kroos; Messi,
Ronaldo, Roben
No comments:
Post a Comment